Je? unaongea lugha zaidi na moja na unataka kusaidia kutafsiri SDS? Vyema! Hizi ni maagizo: kwa urahisi tengeneza mradi na tafsiri maelezo ya mradi ya sasa ndani ya mradi yako. Kumbuka kutafsiri maada ya SDS na onyesha lugha unatafsiri kwa maada ya mradi yako na andika kwa lugha unatafsiri. Kwa mfano, Ukiwa unatafsiri french unafa kuandika "Francaise". Pia unafaa kutengeneza picha na jina ya SDS kwa lugha yako. Ukimaliza tafsiri maagizo ya mradi hii pia. (Unaeza weka kwa upande wa Noti na Maumana) Ukimaliza gawa kiunganishi kwa sehemu ya maoni kwa studio ya watafsiri- https://scratch.mit.edu/studios/4679809/comments . TAFADHALI KUMBUKA: Huezi tumia mfuli ya kutafsiri kama vile lakini si udogo na, Google translate au Microsoft translate. Unataka kusaidia lakini mtu amesha tafsiri kwa lugha yako?Ni sawa!unaeza tafuta shida ya sarufi na tahajia na fanya marudio pamoja. Do you speak more than one language and would you like to help translate the SDS? Fantastic! Here are some instructions: Simply create a project and translate description of current SDS within the instructions of your project. Be sure to translate the title of the SDS and include what language you are translating in your project title. The language should be written in the language you are translating. For example, if you are translating into French, it should say ”Français”. You may also create a thumbnail with the name of SDS in your language. After that translate this template's instructions as well. (You can put it in the Notes & Credits section) Once you are done, share a link to your project in Translation studio's comments- https://scratch.mit.edu/studios/4679809/comments . PLEASE NOTE: You cannot use a translation website, including but not limited to, Google Translate or Microsoft Translate. Want to help but someone else has already translated your language? That’s okay! You can look for spelling or grammar mistakes and work with them to make corrections.